Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Florentino Perez is selling Achraf Hakimi to Inter Milan so that Inter reject Barca's offer of Semedo plus cash for Martinez. Now, Barca will have to pay whole cash to buy Martinez which is hard given their financial condition.

Just another Don Perez masterclass.

📝: [@Rithik_RM]

Kama hii taarifa ni ya kweli basi wazungu ndo wanazijua figisu aisee

Madrid wamebugi kabisa kumuuza huyo dogo, Nikatika best right backs duniani sasa hivi
 
Tunahitaji pesa pia

mkuu huyu dogo wakupewa namba kabisa pale madrid sasa hivi, ni most inform right back duniani sasa hiv. kama kunahitajika pesa mizoga ipo kibao, Bale, Rodriguez, Marcello, Jr, siyamalizi kabisa

Wamekua wakifanya sajili za ovyo kabisa za kupoteza pesa na kuwaacha vijana mahiri kizembe kabisa
 
Mikataba ya Madrid si kama unavyoichukulia. Wachezaji wengi wenye promising future pale Madrid hua wakiuzwa kuna vipengele kibao vya kurahisisha kuwanunua kwa bei ya kawaida. Hata kavajal ilikua hivyo.
Let him develop his experience.
 
Hembu tupe mfano ya sajili za kizembe na vijana walioachwa na kwenda kung'aa huko walipoenda? Ningefurahi pia ukinipa mfano wa timu ambazo kila usajili zimefanya umekua mzuri
 
Los blancos
255769880180_status_202400e83dcb49e4aa3a008974b44e83.jpg
 
Mikataba ya Madrid si kama unavyoichukulia. Wachezaji wengi wenye promising future pale Madrid hua wakiuzwa kuna vipengele kibao vya kurahisisha kuwanunua kwa bei ya kawaida. Hata kavajal ilikua hivyo.
Let him develop his experience.

hicho kipangele hakijawekwa kwake mkuu.
 
Hembu tupe mfano ya sajili za kizembe na vijana walioachwa na kwenda kung'aa huko walipoenda? Ningefurahi pia ukinipa mfano wa timu ambazo kila usajili zimefanya umekua mzuri

Eder Miltao 50m Euro
Luka Jovic 60m Euro
Mendy 48m Euro
Reinier Jisus 30m Euro
Rodrygo 45m Euro

Mariano 22m Euro
Vinicius Junior 45m Euro

timu imetumia 233m euro ovyo msimuu huu tu hii ukitoa usajili wa hazard. HAwa wote hawana sifa yakua Real Madrid starters. mbali nhao wa chini wa msimu uliopita.

huyo Hakim ni mmoja wakijana makini wanaemuacha .
kuna na MArcos Llorente waliemuuza Atlatico Madrid
kuna Ruguilon ambae wamemtoa kwa mkopo ni beki bora kabisa ya kushoto kuliko wote walionao kwa sasa. na hasa utumbo ni pale walipomuondoa huyo dogo wakaspend karibu 50m kwa mendy .
Kuna na hawa madogo wawili Odegard na Kubo wanahitaji kupewa nafasi kwenye timu wapo nje kwa mikopo wana vipaji vya uhakika.
NA bado nashindwa kufahamu kumuondoa Ceballos halafu mbadala wake kumsaini Valverde jamaa ni wakawaida mno.
Wamepoteza nafasi za kuwauza Bale, Isco na Rodriguez kwa pesa nzuri msimu uliopita hamna atakaeweza lipa pesa nzuri tena kwao kwa sasa.
 
Kaka valverde unamtizama vizuri lakini. Ujue hata mashabiki mandazi wa barca huwa hawaoni kazi ya busquets ujue, ila mashabiki na wapenzi wa mpira wanajua umuhimu wa mtu kama casemiro au valverde au mtu kama busquets pale barca japo ni jua la jioni. Kaka valverde akiuzwa nitaishangaa madrid naona itakuwa inajaribu kurudia makosa ya kumuuza makelele na kumnunua beckam
 
Mkuu wengine kufanya vibaya isiwe sababu kujihalalishia na wewe ufanye vibaya. Man City imekua ikifanya sajili za ovyo tena za mapesa mingi kwa miaka mingi timu bado ilikua inasuasua, Walipopata Director makini ndani ya miaka miwili muelekeo wa timu mzima ulibadilika. (Pep Guardiola, De Bruyne, Sane, B. Silva, Gundogan, Mahrez, Ederson, Laporte, Zinchenko) vipigo walivyorusha havikua vya dunia hii kabisa, na mwaka jana akakusanya domestic triple, na mwaka huu wanabeba cup 2.

Ila huko nyuma licha ya kumwaga fedha zilikwenda hovyo kwa akina Lescout, Adebayo, Nasri. Sagna na magarasa mengine.
 
Kaka valverde unamtizama vizuri lakini. Ujue hata mashabiki mandazi wa barca huwa hawaoni kazi ya busquets ujue, ila mashabiki na wapenzi wa mpira wanajua umuhimu wa mtu kama casemiro au valverde au mtu kama busquets pale barca japo ni jua la jioni. Kaka valverde akiuzwa nitaishangaa madrid naona itakuwa inajaribu kurudia makosa ya kumuuza makelele na kumnunua beckam

Mkuu huyo akiondoka Zidane pale nayeye anaondoshwa, jamaa uwezo wake ni wakuwepo timu kama Spurs, Napoli au Atletico Madrid nasi Real Madrid
 
Eder Miltao 50m Euro
Luka Jovic 60m Euro
Mendy 48m Euro
Reinier Jisus 30m Euro
Rodrygo 45m Euro

Mariano 22m Euro
Vinicius Junior 45m Euro

timu imetumia 233m euro ovyo msimuu huu tu hii ukitoa usajili wa hazard. HAwa wote hawana sifa yakua Real Madrid starters. mbali nhao wa chini wa msimu uliopita.

huyo Hakim ni mmoja wakijana makini wanaemuacha .
kuna na MArcos Llorente waliemuuza Atlatico Madrid
kuna Ruguilon ambae wamemtoa kwa mkopo ni beki bora kabisa ya kushoto kuliko wote walionao kwa sasa. na hasa utumbo ni pale walipomuondoa huyo dogo wakaspend karibu 50m kwa mendy .
Kuna na hawa madogo wawili Odegard na Kubo wanahitaji kupewa nafasi kwenye timu wapo nje kwa mikopo wana vipaji vya uhakika.
NA bado nashindwa kufahamu kumuondoa Ceballos halafu mbadala wake kumsaini Valverde jamaa ni wakawaida mno.
Wamepoteza nafasi za kuwauza Bale, Isco na Rodriguez kwa pesa nzuri msimu uliopita hamna atakaeweza lipa pesa nzuri tena kwao kwa sasa.
Federico Velvede una mtazama aje mkuu? Yule dogo ni DM mzuri saana ndio maana mechi nyingi akifanyiwa sub tunapigwa nme shuhudia game kama tatu Fede akitoka mda si mrefu tunafungwa acha kumu underrate
 
Du! Kwahiyo wote hao uliowataja ni wabovu??? Unajua thamani yao imekua kiasi gani mpaka sasa toka wanunuliwe?? Wote hao age ni 18-20, wanaviwango vizuri na wanaitaji kujenga uzoefu tu. Wana muda wa kutosha kukua.
Nilikwambia nitajie timu ambayo inanunua wachezaji na wote wanakua first class players naona hujanitajia.

Lengo la kutoa wachezaji kwa mkopo ni kwajili ya kuwapa play time na kuwapa uzoefu, kwasababu wakiendelea kukaa kwenye timu na wazoefu wataishia kusugua bench tu.

Madrid haijaanza kuuza wachezaji wala kununua wachezaji jana wala leo. Na itaendelea kufanya hivyo kwasababu mpira ni zaidi ya uwanjani, ni biashara pia.
 
Federico Velvede una mtazama aje mkuu? Yule dogo ni DM mzuri saana ndio maana mechi nyingi akifanyiwa sub tunapigwa nme shuhudia game kama tatu Fede akitoka mda si mrefu tunafungwa acha kumu underrate
Hajielewi huyu.. Aangalie Fede amekua man of the match mara ngapi msimu huu.

Alafu watu kama hawa unabishana nao kumbe hata mechi hawaangalii, wanasubiri matokeo live score.

Mtu kama Vin anamchango mkubwa sana, japo hayupo clinical kwenye umaliziaji.. Hata Rauli akiwa bwana mdogo alikua na hili tatizo, lakini aliendelea kuwa bora kadiri muda ulivyokwenda.

Hata Modric alipokuja watu waliongea mbovu, ila badae shughuli yake waliona.
 
Back
Top Bottom