Murashani GALACTICO
JF-Expert Member
- Feb 27, 2012
- 2,516
- 5,418
Ujue kumchambua DIFFENSIVE MIDFIELD kwa shabiki mandazi ni ngumu sana. Kuna mashabiki wa mpira kupitia livescore na kwenye mikeka. Emu mtuache sisi tunaoifatilia kila touch kila sekunde kila movement ya mpira uwanjani. Huwezi muanderate kiasi icho FEDE.... Dogo yule nadhani anaweza kuwa moja ya defensive and box to box midfield kwa sasa. Akiaminiwa tunaweza hata NGOLO KANTE asisajiliwe pale madrid.
