Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Kazi yake ambayo anapangiwa kila siku hua ni kukaba na kuzuia mashambulizi

Case closed
Case not Closed

Bado kuna vitu vingi inapendeza zaidi akioffer although ni Midfielder mzuri hamna atakaebisha

A whole Midfield has to be creative,has to create, has to assist goals and has to score
 
Not only are Arsenal helping giving Ceballos minutes we couldn't, they're giving us more than 16M on top of that, with no option to buy. That's some great business.
 
Nadhani unamfahamu Sergio Busquets na pia unamfahamu Fabinho na pia unamfahamu Tanguy Ndombele
Just to mention a few
Hawa uliowataja hakuna kati yao anaweza kumtoa namba Casemiro... yule kijana anastick vzr kwenye DM.
 
Tangu lini Casemiro amemfikia uwezo Sergio Busquets? Kwa macho ya ushabiki wa mchezaji sababu anachezea Club unayoshabikia inawezekana
 
Either Neymar will end up at Real Madrid or stay in Paris. Barca are too broke to make it happen, and PSG don't even like them, plus their players + money exchange just blown out with Coutinho choosing Bayern and Dembele injured.

Real Madrid will only take Neymar if Gareth Bale leaves, something only PSG can help with at the moment, and if Gareth agrees. I guess it's safe to say both PSG and Neymar are screwed, coz that's one more year together in a relationship both parties want out.
 
Ni sawa kwa sisi kuswap deal tuwape Bale watupe Neymar kwa kipindi hiki?

Maoni yako mkuu bila kusahau future ya Vinicius na Asensio

Neymar ni bora kuliko Bale, sipendi tu tabia zake kadhaa ndani na nje ya uwanja. Kama Perez akifanya hiyo swap deal, ntaipokea bila kinyongo.

Niko kwenye position Neymar akienda Barca sawa, akija Real sawa, akibaki pia huko aliko sawa. Vinicius na Asensio ni wapita njia tu pale, hawana uwezo wa kutoboa na kudumu.
 
Vinicius Jr kama aoni goli lilipo, maisha yake pale Bernabeu ni ya muda mfupi tu. Zile dribbling amuachie Marcelo anatakiwa kunyoosha miguu la sivyo atauzwa hata Arsenal.
 
[/QUOTE]"
Kweli kabisa man, Dogo ana upungufu mkubwa sana mbele ya goli, kama kambi yake ina watu makini kazi yao kwa sasa ni kumfua kijana jinsi gani ya kuliona goli, la sivyo kiukweli atakuwa anasimulia kuwa alishacheza Real Madrid. Mwenzie Odegaard aliona kama ni rahisi kutoboa ila mpaka Leo yupo kwa mkopo, japokuwa kwasasa amebadilika anatumia akili na anajitahid kama akiendelea hiv basi anaweza kuja kuvaa uzi mweupe! !
Kijana ambao sina shida nao ni Rodrgo, na Kubo, hawa wanajua wanachotaka.
 
V Jr ni mchezaji mzuri, mi nadhani apewe muda zaidi wa kukaa Madrid na dkk nyingi za kucheza uwanjani na matunda yake tutayaona bdae, anaweza asifikie kiwango kikubwa cha kuibeba timu yeye kama yeye lakini akatufaa kwa team work maana naona ana moyo mweupe wa kama Karim B awepo uwanjani (afunge yeye au atoe assist kwake poa tu ili mradi timu ishinde)

Nakumbuka Ramos na Marcelo wakati wanakuja walikuwa avarage players tu lakini muda umekua mwalimu mzuri kureveal their potentiality

#HalaMadrid
Vinicius Jr kama aoni goli lilipo, maisha yake pale Bernabeu ni ya muda mfupi tu. Zile dribbling amuachie Marcelo anatakiwa kunyoosha miguu la sivyo atauzwa hata Arsenal.
 
V Jr ni mchezaji mzuri, mi nadhani apewe muda zaidi wa kukaa Madrid na dkk nyingi za kucheza uwanjani na matunda yake tutayaona bdae, anaweza asifikie kiwango kikubwa cha kuibeba timu yeye kama yeye lakini akatufaa kwa team work maana naona ana moyo mweupe wa kama Karim B awepo uwanjani (afunge yeye au atoe assist kwake poa tu ili mradi timu ishinde)

Nakumbuka Ramos na Marcelo wakati wanakuja walikuwa avarage players tu lakini muda umekua mwalimu mzuri kureveal their potentiality

#HalaMadrid

Ramos average player? The most expensive defender, tena signed na Perez aliyekuwa haamini katika defending, akiwa teenager. Ramos has always had the potential ya kuwa greatest defender, always. Marcelo labda, ila ana factors zilizomsukuma tofauti na Vinicius, na bahati pia.
 
Back
Top Bottom