Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Kazi yake ambayo anapangiwa kila siku hua ni kukaba na kuzuia mashambulizi

Case closed
Case not Closed

Bado kuna vitu vingi inapendeza zaidi akioffer although ni Midfielder mzuri hamna atakaebisha

A whole Midfield has to be creative,has to create, has to assist goals and has to score
 
Not only are Arsenal helping giving Ceballos minutes we couldn't, they're giving us more than 16M on top of that, with no option to buy. That's some great business.
 
Nadhani unamfahamu Sergio Busquets na pia unamfahamu Fabinho na pia unamfahamu Tanguy Ndombele
Just to mention a few
Hawa uliowataja hakuna kati yao anaweza kumtoa namba Casemiro... yule kijana anastick vzr kwenye DM.
 
Hawa uliowataja hakuna kati yao anaweza kumtoa namba Casemiro... yule kijana anastick vzr kwenye DM.
Tangu lini Casemiro amemfikia uwezo Sergio Busquets? Kwa macho ya ushabiki wa mchezaji sababu anachezea Club unayoshabikia inawezekana
 
Either Neymar will end up at Real Madrid or stay in Paris. Barca are too broke to make it happen, and PSG don't even like them, plus their players + money exchange just blown out with Coutinho choosing Bayern and Dembele injured.

Real Madrid will only take Neymar if Gareth Bale leaves, something only PSG can help with at the moment, and if Gareth agrees. I guess it's safe to say both PSG and Neymar are screwed, coz that's one more year together in a relationship both parties want out.
 
Ni sawa kwa sisi kuswap deal tuwape Bale watupe Neymar kwa kipindi hiki?

Maoni yako mkuu bila kusahau future ya Vinicius na Asensio

Neymar ni bora kuliko Bale, sipendi tu tabia zake kadhaa ndani na nje ya uwanja. Kama Perez akifanya hiyo swap deal, ntaipokea bila kinyongo.

Niko kwenye position Neymar akienda Barca sawa, akija Real sawa, akibaki pia huko aliko sawa. Vinicius na Asensio ni wapita njia tu pale, hawana uwezo wa kutoboa na kudumu.
 
Vinicius Jr kama aoni goli lilipo, maisha yake pale Bernabeu ni ya muda mfupi tu. Zile dribbling amuachie Marcelo anatakiwa kunyoosha miguu la sivyo atauzwa hata Arsenal.
 
Back
Top Bottom