Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Marcelo alikuwa akiongea kufuatia sare isiyo ya magoli ya Madrid katika uwanja wa mahasimu wao Atletico Madrid Jumamosi.
Sare hiyo imewaacha Madrid na Atletico pointi 10 nyuma ya vinara wa La Liga Barcelona baada ya raundi 12, hata hivyo Marcelo hajakata tamaa kwa timu yake kufuta pengo hilo.
 
Tetesi
REAL IPO TAYARI KUTOA £60M KWA AGUERO


Real Madrid wanaandaa dau la paundi miiloni £60m kumleta Sergio Aguero La Liga, kwa mujibu wa Don Balon .
City wapo tayari kumuuza mfungaji wao wa muda wote ikiwa watampata Alexis Sanchez kutoka Arsenal, na hiyo itafungua njia kwa Zinedine Zidane kumsajili straika huyo wa Argentina.
 
José Luis Sánchez: "Ramos will not be operated on. He'll play with a mask. He'll try to be ready for the game vs Malaga or against Athletic."

23659631_1791042200920532_437678884917369210_n.jpg
 
On route to Cyprus | The under-19s also traveled with the first team as Guti’s side also come up against APOEL (Tuesday 3pm CET, 4pm local time) in the fifth match of the UEFA Youth League.

DPELiEyW0AAlj71.jpg:large
 
There is still hope that we can do this, you know why?

1- We are Real Madrid the most royal and lauded club in the history of Europe. Giving up is just not in our DNA.

2- Zidane clawed back 11 points from the Catalans in his first season though we lost the league by just a single point
 
Sio rahisi kwa Real Madrid kumsajili kocha raia wa Ujerumani Joachim Low, 57, iwapo watamfuta kazi mkufunzi Zinedine Zidane. (Daily Express)
 
Beki huyo muhimu kwenye kikosi cha Los Blancos ataukosa mchezo wa Jumanne dhidi ya APOEL kufuatia jeraha la pua katika mechi dhidi ya Atletico
Mechi za Ligi ya Mabingwa Ulaya zinaendelea tena wiki hii klabu kadhaa zikiwa zimeshaweka hadharani vikosi vitakavyocheza, Real Madrid ikiwa miongoni mwao.
Lakini mlinzi Sergio Ramos ameachwa nje kikosi cha Real Madrid kitakachocheza dhidi ya APOEL kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya kuvunjika pua yake kwenye mchezo wa Jumamosi dhidi ya Atletico Madrid.
Kikosi cha Zinedine Zidane kimeundwa na wachezaji: Casilla, Moha, Carvajal, Vallejo, Varane, Nacho, Marcelo, Theo, Achraf, Kroos, Modric, Casemiro, Marcos Llorente, Asensio, Isco, Caballos, Ronaldo, Benzema, Lucas Vazquez, na Borja Mayoral.
Majeruhi wengine ukiachana na Ramos ambaye anatarajiwa kuwa nje ya kikosi hicho kwa siku kumi ni Keylor Navas na Gareth Bale huku habari njema ni juu ya urejeo wa Kovacic licha ya kutojumuishwa kwenye kikosi hicho.
 
Ila Zizou ifike wakati naye abadilike, amuache bench Benzema aingie B.Mayoral ambaye ana hamasa ya kutengeneza jina.
 
Back
Top Bottom