Ahahahahahh......Van alikuwa hayuko hivi alikuwa anapiga chenga huyu Rinaldo ni aina ya kina Sokjsher au InzaghiCR7 the new Inzaghi
kuotea hata Ruud Van anasubiri
Hold on! who's Rinaldo?Ahahahahahh......Van alikuwa hayuko hivi alikuwa anapiga chenga huyu Rinaldo ni aina ya kina Sokjsher au Inzaghi
i think umri inavo enda unamlazimisha awe hivo, Ron ameshavuka 30, he isnt young anymoreAhahahahahh......Van alikuwa hayuko hivi alikuwa anapiga chenga huyu Rinaldo ni aina ya kina Sokjsher au Inzaghi
Leo kunaushindi Mkuu..?Navas kawa shujaa
naiona droo kabsa hapaLeo kunaushindi Mkuu..?
Muulize babu yake anaweza kuyafanya ayafanyayo yy sasa? uzee hauna adabu hata hapo tu anajitahidi na anastaafu vizuri sasa huyo kituko wao aliyejizeesha aendelee kulinganishwa na cr7?i think umri inavo enda unamlazimisha awe hivo, Ron ameshavuka 30, he isnt young anymore
Messi katoka?Game imepoa ghafla
jamaa ana jitahidi, Miaka 31 si mchezoMuulize babu yake anaweza kuyafanya ayafanyayo yy sasa? uzee hauna adabu hata hapo tu anajitahidi na anastaafu vizuri sasa huyo kituko wao aliyejizeesha aendelee kulinganishwa na cr7?