Iceman 3D
JF-Expert Member
- Sep 3, 2016
- 20,611
- 67,105
yeahHalafu Casemiro ana yellow tayari, inawezekana tukacheza one man dawn hii game.
na njano kawahi sana kuipata inatakiwa tufanya changes kwa kweli
jamaa anakosa hata uhuru wa kukaba
yeahHalafu Casemiro ana yellow tayari, inawezekana tukacheza one man dawn hii game.
braza halaf jamaa kafunga vizuri kweliYaani bora hata angeshinda suarez lakini si messi dah! tushampa neno edo kumwembe
hahahahaWa kuu leo ninauchapa![]()
![]()
![]()
![]()
Kweli kabisa Mkuu, sijui ilikuwaje mpaka Zidane akampa nafasi, alitakiwa aanzie Bench.Huyu Bale alitakiwa asicheze kabisa, hayuko 100% fit.
Bwanaeee hadi mm nimeipenda japo huku naumiabraza halaf jamaa kafunga vizuri kweli
casemiro kanywea so hapa kati tuna zidiwa kiainaBwanaeee hadi mm nimeipenda japo huku naumia
Nikuuchapa sioni Barca atapona hapohahahaha
unakula kuku mzee poa poa
Kabisa yaani na hapa kuna faulo refa kamuachia tu ingekuwa redcasemiro kanywea so hapa kati tuna zidiwa kiaina
hahahaNikuuchapa sioni Barca atapona hapo
he needs to relaxKabisa yaani na hapa kuna faulo refa kamuachia tu ingekuwa red
Zidane itabid amtoe Casemiro tu kwa kweli, hakuna jinsi, sioni akicheza dk nyingine 45 bila card, Hapo refa kamchukulia poa tu, ila kama akifanya tena faulo nyingine refa atulie.Kabisa yaani na hapa kuna faulo refa kamuachia tu ingekuwa red

Natamani isco aingieZidane itabid amtoe Casemiro tu kwa kweli, hakuna jinsi, sioni akicheza dk nyingine 45 bila card, Hapo refa kamchukulia poa tu, ila kama akifanya tena faulo nyingine refa atulie.