Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
- #28,021
Kovacic is on for Casemiro.
Bado anasumbuaa ndio anaweka chachu ya mchezo yeye na marceloMessi katoka?
uzee unamfata kwa kasijaman what have happened kwa Cr 7!!?
asensio angejua aipige tuu
kina nan hao!?Walitaka tena kufunga la offside
Namlaumu aliyetoa pasi! si kila mechi mpka fulani ashinde tukusanye point tatu kwanza! show off baadae... Btw naona goli kupitia kwa ansensio the guy is fighterjaman what have happened kwa Cr 7!!?
asensio angejua aipige tuu
ila leo na presha ya mechi imekuwa kubwauzee unamfata kwa kasi
Namlaumu aliyetoa pasi! si kila mechi mpka fulani ashinde tukusanye point tatu kwanza! show off baadae... Btw naona goli kupitia kwa ansensio the guy is fighter
Naelewa mkuu, nafikiri sasa ni muda wa kukabidhi majukumu ya Rinaldo kwa Asensio.i think umri inavo enda unamlazimisha awe hivo, Ron ameshavuka 30, he isnt young anymore
So sad! lets fight for draw no way![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
na tsha fungwaaa
still twaweza pata draw yesSo sad! lets fight for draw no way
Muda wa morata sasa kuingia anaweza akatusaidiastill twaweza pata draw yes





tatizo ni nani amfunge paka kengeleNaelewa mkuu, nafikiri sasa ni muda wa kukabidhi majukumu ya Rinaldo kwa Asensio.
ahaaaMuda wa morata sasa kuingia anaweza akatusaidia