johnsonmgaya
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 2,818
- 3,731
Sijaelewa sign ya ramos wakati anatoka
yes ilikuwa straight red yaan hapa imekuwa shdaIle ni sawa kabisa red card.....
Na adhabu juu apewe...huwezi kucheza vile ukategemea kutopewa redIle ni sawa kabisa red card.....
Bado dakika ngapi game iisheyes ilikuwa straight red yaan hapa imekuwa shda
10 tuuBado dakika ngapi game iishe
Hata zidane amechukiaNa adhabu juu apewe...huwezi kucheza vile ukategemea kutopewa red
Leo kashine sana inaelekea machungu ya uefa kayaleta hukujaman leo hii timu Messi ime mshindwa kabsaa

Messi anataka kufanya mauajiJames for benzema
Kuna uelekeo hata wa draw au tumelalajaman leo hii timu Messi ime mshindwa kabsaa
Leo kashine sana inaelekea machungu ya uefa kayaleta huku![]()
![]()
aaaahKuna uelekeo hata wa draw au tumelala
Saaanaaa! nafikiria kesho sura yangu nitaiweka wapi![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
inaumaaaaaa