Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
- #19,401
Kwa maoni yangu nadhan Madrid wanahitaji zaidi striker wa maana kuliko PogbaABC: "Pogba's outspoken agent is trying to refrain from making any comment to the media for the sake of his client. Real Madrid don't want an out of place comment from Raiola to ruin negotiations now that Pogba is on the verge of joining the club."
Kwa maoni yangu nadhan Madrid wanahitaji zaidi striker wa maana kuliko Pogba
I read somewhere that Juve wanted 120m + Kroos. Italians shouldn't make jokes at all.
Hakuna kelele zozote kutoka kwa fans wa Madrid, hata Perez mwenyew alikua hana mpango na Pogba kihivyo, Zidane ndio ameonyesha interest kwa dogo. Perez na Mino haziivi so ni ngum sana kwake kuwasiliana na Mino kuhusu Pogba!!Mjomba Perez anasikiliza zaidi kelele za mashabiki "galactico"
Ingekua busara kumnunua David Alaba na Paul Dybala kwa hizo fedha
Sijui kwanini Mateo amemtoka Zizou hivyo, ingekua poa sana angetolewa kwa mkopo ili tuangalie maendeleo yake.Real Madrid only want to sell Mateo Kovačić. The club want €25m for the Croatian, and loaning him isn't an option. [Sky Sports]
Kwa maoni yangu nadhan Madrid wanahitaji zaidi striker wa maana kuliko Pogba