Cesar Caspar
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 3,703
- 6,363
Amechezea team zote, yaan alicheza Ajax then baadae akaja Real MadridMbona Seedorf yupo kote kote
Amechezea team zote, yaan alicheza Ajax then baadae akaja Real MadridMbona Seedorf yupo kote kote
Hawa watu makali yao bado hajapungua kiviile.. Salgado kama angekuwepo Madrid mpaka sasa hiv angemweka Albeloa bench.., alinikumbusha enzi zake, hajabadilika kihivyo. Game ilikua poa sana.Raúl González [ ON Twitter]
![]()
Imekaaje hii! Au mkataba ndo ulikuwa na kipengele hicho!?Rafa Benítez has earned 600.000€ in a bonus for winning the Champions League, even if he left the club after the group stage.
Imekaaje hii! Au mkataba ndo ulikuwa na kipengele hicho!?
Asee huyu alishatupotezea uelekeo, hii mikataba nayo waangalie wakati wanaingia maana unakuta mtu ananufaika isivyo.Mkataba man, lakini angekuwepo sijui kama tungepata mafanikio japo kiduchu, maana jamaa alikosa ushirikiano kutoka kwenye squad kabisa.
Kwanza angetueleza mapato wanayoingiza, kisha gharama za hiyo technology ndipo tuone uhalali wa akitamkachoJavier Tebas confirms that La Liga will remain without goal-line technology next season.
“We still won’t have goal-line technology in Spain because the technology costs too much money.”
![]()