Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
- #19,181
Ramos and Vázquez joined Spain's squad.
Kaanza na kadi ya njano?!
Hahaha... ni kweli kijana anafanana na Kadi, Ndio maana ningefurahi zidane asajili mtu wa kumsaidia Casemiro, sababu jamaa hachelewi kupigwa red.Casemiro kadi za njano mbona ameshafanana nazo. Hii ni kawaida yake kwa kila mechi, I don't hate his game tho!
Huyu atolewe tu kwa mkopo, ni mchezaji mzuri tu na bado ni mdogo, yupo pale kama mbadala wa Modric. Ingekua vizuri kama huko Juve ataenda kwa mkopo.Juventus are interested in Real Madrid midfielder Mateo Kovačić who will most likely be on his way for €25m. [Corriere dello Sport]
Mbona Seedorf yupo kote koteConfirmed players for the Corazón Classic Match:
![]()
Unajua Casemiro namba anayocheza ni kama "mbuzi wa kafara" ni either adui apite au achezee kiatu....Hahaha... ni kweli kijana anafanana na Kadi, Ndio maana ningefurahi zidane asajili mtu wa kumsaidia Casemiro, sababu jamaa hachelewi kupigwa red.