Alpha13
Senior Member
- Oct 26, 2015
- 141
- 119
Ahahahaaa hivi inaweza rudi kwa msimu mmoja!?
Mauzo ya jezi na fedha ambazo timu hulipwa kama mchezi wake atashiriki kwenye matangazo ya bidhaa au biashara
Ahahahaaa hivi inaweza rudi kwa msimu mmoja!?
Naona huyu dogo anapewa sana spotlight ila kiukweli kwa mimi wala sioni kikubwa ambacho anakifanya ni mchezaji mzuri kweli ila sio kwa kiwango hicho wanachotaka kuaminisha watuEduardo Inda: "Real will pay even 120 million for Pogba if needed, with a salary of 11-12m !"
"Pogba earns 3.5m at Juve right now."
Huyo dogo atakuwa kama Hamez tu wala hana jipya atafanya apo Santiago Bernabeu.....Mauzo ya jezi na fedha ambazo timu hulipwa kama mchezi wake atashiriki kwenye matangazo ya bidhaa au biashara
Juventus are offering Real Madrid €15m to keep Alvaro Morata, but Real Madrid are asking for €65m. [Di Marzio]
![]()
Haha 15m? Wana utani m'baya sana kama ni kweli. Ila namna Madrid wanavyo-deal na Juve kwa Morata na Kovacic, itarudi kwa Pogba.
Mi nafikiri itakuwa hivyo. Pogba's agent amekuwa anti-Perez pamoja na hii issue ya Morata. Kuna good connection kati ya Pogba na Zizou lakini sijui if it can help. Au Real wanaweza kutumia karata ya Morata to bring Pogba in.
Sijui hata itakuwaje. Nadhani Juve watamuachia Pogba tu endapo kama mwenyewe ataanzisha drama aachiwe. Labda Zidane being the man now inaweza kuwa na influence ya ziada pia.