Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
- #18,861
Cristiano Ronaldo: "I asked Zidane to take the fifth penalty because I knew it'd be the winning penalty."
Alistahili, toka mwanzo kacheza frshGareth Bale was named Man of the Match of the Champions League Final.
![]()
The last lough is always good
Wana catalunya kimyaaaa
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
HahahaSasa hivi wanasaini petition wanataka Real Madrid inyang'anywe makombe
Hahaha
Sababu zao ni nn!!?
Noooooo mkuu, mimi nitabaki kuwa nabii wa kweli waulize mashabiki wangu wa man united nabii toxic9 watakuelezea, leo ligi ya laliga timu yangu niipendayo pia real Madrid sijaanza kazi ya unabii leo ila nimefurahi kuona kila mtu anafuraha niliyonayo mpaka machozi.....Hahaha
Prophet i blvd u now you cant blv it your self
Ronaldo hayuko sawa nahisi bado anamaumivu ila wanamchezesha tu. Hata juzi kwenye mazoezi aidondoka
It was a time I wished he could go to the bench. Sijui vipi yaani