Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Cristiano: "I knew I was going to score the winning penalty. I was confident."

Cristiano: "I’m happy, I want to share these titles with all Madrid fans”.


Cjk9IYDWEAUqy0G.jpg:large
 
Naona wakaanga sumu wote wananikimbia wengine wakiniona wanaangalia chini..yani badala ya wao kunitafuta mimi ndio nawafwata walikojichimbia kwa aibu!!! heheheheee sipati picha tungefungwa leo
 
Hongera Madridista wote. Tulikuwa na up and down kwenye msimu huu lakini at the end tumefurahi. Hii timu sasa aachiwe Zizou aitengeneze. Perez asilete uspanyolidad wake akae pembeni aendelee kuuza jezi Tu. Mambo ya ufundi awaachie watu wenye akili timamu
 
Back
Top Bottom