Good job team for this first half.....casemiro ameplay vzr sana....kafanya kazi ambayo amatumwa na ambayo simeon alikuwa anajua kuwa huyu ndo kikwazo kikuu...kafanya kazi kuwa nyepesi sana kwa modric fundi...upande wa mbele,benzema sijaona alichofanya cha maana nafikir anaweza kuingia lucas kuanzia dakika ya 70....beki zetu ziwe makini nakuruhusu hawa jamaa kupiga,maana naona wanamvuta sana makwapa navas,ambayo ni hatar sana kwetu....half hii ijayo atletico watafunguka zaidi ili kusawazisha so counter tutazopiga tuzitumie vzr ili wapagawe kabisa nakupotea mchezon....