Danilo hajui kichiziAlafu uwa sina imani sana na danilo mweeer
Kwa kweli sjafurahi ila na wish acheze fureshDanilo hajui kichizi
Hivi we jamaa ni shabiki wa timu gain!? Ila Samahani..!!Kwa kweli sjafurahi ila na wish acheze furesh
Man u primarily, ila madrid pia ni my favourate sana tuuHivi we jamaa ni shabiki wa timu gain!? Ila Samahani..!!
Gud gud gud.. Asante kwa taarifa.Man u primarily, ila madrid pia ni my favourate sana tuu
Na barcelona is my worst
HahahaBenzema anazingua kinoma
Hahahahhahahahahhaha.....huyu benzema ni jipu mwanaHahaha
Naona wengi wana sema benzema ana zingua
.ata mdogo angu ana miaka 10 ana nambia atoke
Naona kakusikia bwana zidane apaHahahahhahahahahhaha.....huyu benzema ni jipu mwana
Lile goli tulilo kosa limetugharimu pale paleeeKudadeq...tumewapa watu chakusema sasa