Mimi napata pressure na hii rudisha nyuma ya mabeki wetu....Kiufupi mechi imeisha
Ku defend goli ni kaz sanaInatakiwa tuwape presaure tena tupate la pili maana hata kocha wao unaona amechanganyikiwa
Sanaaa....inatakiwa tutupie la pili ili tukae kwenye kiti vzrKu defend goli ni kaz sana
Hasa likiwa moja
Halla MadridKu defend goli ni kaz sana
Hasa likiwa moja
HahahaHalla Madrid
Salamu ziwafikie wote waliojifanya wanashabikia upande wa pili kwa mkopo