Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
- #18,261
Money from shirt deals (annually)
Mtaa wa pili wanalia kuwa Real itawalipa Granada ili iwafunge hao watu
AS | Perez has made it clear, that he wont sell James this summer.
''He is not for sale''
Nenda Saudi arabiaDah inasikitisha sana,, kumbe waarabu ni watu wema sana hatukusikia haya mambo ya ubaguzi kwao ila ni wazungu tu.. hawa watu sina hamunao basi tu,
Pia sometimes wanajitakia wenyewe tu hakuna wa kumlaumu hapo, na wataendelea kunyanyaswa tu! Why muendelee kuishi huko?...wakati kuna nchi zao za kuishi huku Africa? Hawa watu wa ajabu sana
Afadhali, maana nilikuwa nishaanza kuchukizwa na maamuzi ya kumuuza James
Barca ndo wamewahonga hao jamaa walegezeMtaa wa pili wanalia kuwa Real itawalipa Granada ili iwafunge hao watu