Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
- #18,281
Official announcement | Real Madrid players will wear black armbands tomorrow as sign of mourning & respect towards Iraq attacks victims
Hiyo kitu imenihuzunisha sana kwa kweli! ! Saa nyingine unajiuliza malengo ya hao magaidi yalikua ni nini!! Inahudhunisha sana kuwapoteza ndugu zetu.., RIPThe 16 Madridistas we lost in Iraq. May they rest in peace.
Match fixing inanyemelea hapa.Nimekaa hapa naona kama ubingwa wa ligi wetu...au ni hii grand malta ninayoipiga hapa inanilewesha?!
Inasikitisha sana, hii kitu ona kwa mwenzio lakini isikukute.Official announcement | Real Madrid players will wear black armbands tomorrow as sign of mourning & respect towards Iraq attacks victims