Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,811
Ferguson, Missouri, ,,USA baby"
Baada ya kijana wa Kimarekani mwenye asili ya kwetu Afrika Michael Brown †(18) kupigwa risasi na kuuliwa na Polisi wa Kizungu huko ,,USA baby" hali iliyopelekea kuibuka kwa fujo na maandamano makubwa kupinga uuwaji huwo ambao wengi walisema kwamba ulisababishwa na Ubaguzi wa rangi wa Polisi huyo dhidi ya watu wenye asili ya kwetu huko ,,USA baby" !
Sasa wakazi wa mji huwo wenye watu wengi wenye asili ya kwetu Afrika wameletewa na Serikali ya ,,USA baby" Mkuu wa Polisi mpya ambaye ana asili ya kwetu Afrika aliyetolewa Jimbo la Florida ajulikanaye kama Delrish Moss, hivyo kesho wakipigwa risasi tena na Polisi wa ,,USA baby" msiingie tena barabarani na kuharibu Mali ya Umma kwani Mzungu hayupo tena na sasa Mwafrika Raia vs Polisi Mwafrika!
Delrish Moss akiapishwa!
Hawo ndiyo Wazungu bhana, sasa sijui tatizo ni rangi ya mtu au umaskini na ukosefu wa ajira?!!