Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
- #17,961
Zidane kabet hii game...hakyanan
Kulikuwa hakuna haja ya kumtoa Isco. Jese alitosha.
Zidane kabet hii game...hakyanan
Yaani hapa tumbo laniuma na mwili watetemeka maana hawa nyau wakipata kamoja tu ndio basi