Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

si unajua tena adui muombee njaa,ila Real hata wakipita hapa,lazima wakwae kisiki kwa Atletico
Ili final become EXTREMELY ENJOYABLE wanatakiwa wakutane ATLETICO vs REAL MADRID hao ndiyo wapo kwenye the same heavy weight rank, lakini sio middle weight MAN CITY... Mpambanishe na uzito wa juu ATLETICO ni kuwaonea....
 
HALF TIME: Real Madrid 1-0 Manchester City (Gareth Bale 20') (agg 1-0). #RMUCL #HalaMadrid

ChotNPWWwAAEvlz.jpg:large
 
Aguerro anawagharimu city. Mipira yote anayopewa anapoteza. Hana skills anachofanya ni kukimbia na mpira then anapoteza. Ningekuwa mimi Coach ningempumzisha nimwingize Sterling.
Half tym 1-0
 
Bale naona kacheza vizuri so far, Ronaldo naona ana some kind of muscle discomfort. Pale mtu aliyeharibu first half ni Jese.
Kweli Jesse hayuko vizuri, ila hapa mwishoni mwa kipindi cha kwanza naona kama Bale nae anatatizo i hope halitakuwa kubwa na ataendelea

Kuna haja ya kumpumzisha Jesse hayuko vizuri leo
 
Toni Kroos made 53 touches in the first half, at least 19 more than any Manchester City player. (Yaya Touré - 34) [Opta]
 
Kweli Jesse hayuko vizuri, ila hapa mwishoni mwa kipindi cha kwanza naona kama Bale nae anatatizo i hope halitakuwa kubwa na ataendelea

Kuna haja ya kumpumzisha Jesse hayuko vizuri leo


Jese anazingua game tu, mwenzake Isco katoka kuchoma mahindi lakini angalia alivyocheza vizuri first half, na kwenye defence kashiriki vizuri tu.
 
Back
Top Bottom