pierre tall
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 4,259
- 3,754
Modric alifikiri yupo offside
Isco amefanya kazi kubwa sana yakupunguza nakutengeneza vyumba
Tunakosa umakini tunapofika karibu na eneo la 18...kuna wakat inahitajika kupiga sisi tunataka kupiga chengaHow is this still 1-0?
Tunakosa umakini tunapofika karibu na eneo la 18...kuna wakat inahitajika kupiga sisi tunataka kupiga chenga
Zidane kabet hii game...hakyananMan tuko kwenye situation hapa. Hii game tunaweza kuikosa kimasihara hivi hivi. Naona jamaa wamefanya changes