Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
- #17,661
San Sebastián | Fans waiting for the players at the team's hotel.
Hapa tunaelewana sasa, James kaanza ngoja tusubiri performance yake. Hala MadridReal Madrid formation vs Real Sociedad. (4-3-3)
![]()
Sikumbuki penetration pass za maana dhidi ya ManCity hata pale RMA ilipoutawala mchezo kwenye second half. Mtu wa kufanya hivyo alikuwa ni James tu, bado naamini hivyo
Mkuu ishu ya James ni mbili kidogo, Zidane anapendelea sana mfumo wa 4-3-3 badala ya 4-4-2 (ambapo James/Isco ) wangepata nafasi, kumbuka hata Ancelloti alisema kua Zidane ndio alimpa hiyo idea ya 4-3-3.., so nafasi ya James/Isco ni ndogo sana kwenye kikosi cha Zidane.., labda hapo baadae (msimu ujao) Zidane akianza kuamini kweny philosophy nyingine... ila kwasasa itabidi wasubiri..Sikumbuki penetration pass za maana dhidi ya ManCity hata pale RMA ilipoutawala mchezo kwenye second half. Mtu wa kufanya hivyo alikuwa ni James tu, bado naamini hivyo
If u have to scout the likes of marquinhos hao chipukizi itakuaje sasa??Marquinhos level aliyopo sio ya kuwa scouted. You just break the bank for the kid. My favorite CD atm.
Pamoja na mfumo huo wa 4-3-3 naona leo kaanza, siangalii game yenyewe ila nafuatilia streaming kwenye media mbalimbali dogo anakamua vilevile na timu iko compact enough...Mkuu ishu ya James ni mbili kidogo, Zidane anapendelea sana mfumo wa 4-3-3 badala ya 4-4-2 (ambapo James/Isco ) wangepata nafasi, kumbuka hata Ancelloti alisema kua Zidane ndio alimpa hiyo idea ya 4-3-3.., so nafasi ya James/Isco ni ndogo sana kwenye kikosi cha Zidane.., labda hapo baadae (msimu ujao) Zidane akianza kuamini kweny philosophy nyingine... ila kwasasa itabidi wasubiri..
Kuna post huko juu niliandika kua ningependa sana Isco na James wecheze badala ya Lucas na Jese kweny game dhidi ya City, sema ndio hivyo jamaa alikua ana Mipango yake!!
Hua nina imani sana James akiwa uwanjan sababu ana uwezo wa kufunga ama kutoa assist, sema nina support chochote anachofanya coach ili team ishinde!! #Halamadrid!!
Wataachia tu, hii game ni muhimu sana kwa RMAHawa jamaa wanajua kutumia uwanja wao