Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
- #17,641
Hivi Yames (James) ana tatizo gani zito kiasi cha kuto appear kwenye game hata hizi? Napenda accuracy passing zake it touches roughly 75% of Zidanez record. I stand to be correctedThe 19-man squad for tomorrow's match against Real Sociedad!
![]()
Huyu Benzema amebakiza bicycle kind of scoring goals tu. Mbali na hapo sioni msaada mwingine mkubwa pale RMA
If everything goes to plan, Cristiano Ronaldo and Karim Benzema will play on Wednesday against City. [COPE]
![]()
ni kweli kuna shida kidogo kwa Benzema labda tumpe mda,muda mwingine anakosa goli za kizembe yani hana concetrationHuyu Benzema amebakiza bicycle kind of scoring goals tu. Mbali na hapo sioni msaada mwingine mkubwa pale RMA
In a serious note unaanzaje kuweka apology mkuu. Hili siliiti jipu tu. Overhaul is there to stayni kweli kuna shida kidogo kwa Benzema labda tumpe mda,muda mwingine anakosa goli za kizembe yani hana concetration
Benzema yupo katika Top 6 ya Best strikers in the world..In a serious note unaanzaje kuweka apology mkuu. Hili siliiti jipu tu. Overhaul is there to stay
Salamander, whatsap with Hamez?? seems Zidane ham-rate kabisa jamaa..alikosea kujoin madrid? thoughts?
Zidane anahitaji James aimarike ..... Mwanzo alikua anaanza kabla ya Casemiro hajavuruga kikosi kwa kiwango madhubuti ( nadhani utakua unaelewa) sasa niambie ungekua wewe kocha pale estadio Santiago bernabeu ungemtoa nani ili James achese? Ukija kwa Kroos yeye ni pass master yaani timu ikiwa haina mipira anatafutwa yeye akae nao ile game ya Man City wachezaji wetu wote walipoteza mipira hovyo kasoro yeye ( nadhani hapa tunaelewana Pia) tukinalizia kwa Modrick yuko katika kiwango kikubwa Sana na hivyo hatuwez kumuweka nje ili James acheze......Swali ni nan atoke acheze James?????
Swala siyo nani akae nje. Ishu inakuja hata hapo juzi baada ya timu kumkosa CR7 uwanjani, Na benzema kuumia first half still room ya James haikupatikana. Hapa ndipo wadau tunajiuliza. kuna makosa gani, Kuna nini kinaendelea nyuma ya pazia.? kama ni statistics James ana statistics nzuri msimu huu kuliko waliokuwa katika kikosi na kupewa playtime kubwa.
hizi ndo stats za wachezaji ambao wanaonekana kucompete namba na James baada ya mechi ya Man city uingereza
LUKA MODRIC
minutes played : 2452
Matches played :40
Assist : 3
Goals : 3
ISCO
minutes played : 2466
Matches played :39
Assist : 10
Goals : 5
TONI KROOS
minutes played : 3426
Matches played :40
Assist : 7
Goals : 1
JAMES RODRIGUEZ
minutes played : 1628
Matches played :26
Assist : 9
Goals : 8
Na kwa msimu uliopita stats zake zilikuwa kama hivi
JAMES RODRIGUEZ
minutes played : 3619
Matches played : 46
Assist : 17
Goals : 17
Sasa kinachotushangaza mashabiki wa madrid ni kuwa, kwa mfano mechi kama ya wolfsburg mechi ambayo tulikuwa tunahitaji ushindi ama hata goli la ugenini. mtu ambaye huwa anaibeba timu Hayupo uwanjani, yet backup yake (Benzema) hayupo fit na katoka first half. Yet una unexperienced men wenye poor scoring record/Assist (Vasquez & Jesse) wanaongoza mashambulizi. Bado unaendelea kuwaacha on pitch pasipo kuwa na effect yoyote, na huku una mtu mwenye effect kama James kwenye bench.
Haitoshi unamuacha vasquez mpaka dakika ya 89, unamuingiza mtu ambaye angalau ana effect (ISCO) aingie kufanya maajabu. Is this how it was supposed to be.? Hata kama zidane ni legend, Ila katika hili naona amemisstep kidogo, Otherwise watuambie James ana matatizo mengine na si tatizo la ufit awapo uwanjani
Salamander, whatsap with Hamez?? seems Zidane ham-rate kabisa jamaa..alikosea kujoin madrid? thoughts?