Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Bado ubingwa unapiganiwa vizuri, ufuuuuuu! But we need rehab particularly in the upcoming season. Hii habari ya kumtegemea CR haifai kabisa wakuu
 
FULL TIME: Real Sociedad 0-1 Real Madrid (Gareth Bale 80'). #RMLiga #HalaMadrid

ChTTdKsXEAAlvCH.jpg:large
 
Mkuu we acha tu., alaf hawa vijana walijiandaaa kwa droo

Walijiandaa kwa Real Madrid, si umeona walivyocheza. Lakini second half ilikuwa massive perfomance kutoka kwa squad nzima. Bale amecheza sana leo, jamaa anakimbiza na kuruka mipira yote ya vichwa.
 
Walijiandaa kwa Real Madrid, si umeona walivyocheza. Lakini second half ilikuwa massive perfomance kutoka kwa squad nzima. Bale amecheza sana leo, jamaa anakimbiza na kuruka mipira yote ya vichwa.
Sure man!! vijana walijitahid sana, sasa ninona wako serious na hii kitu
 
Real Madrid’s La Liga winning run:

3-1 Levante
7-1 Celta
2-1 Las Palmas
4-0 Sevilla
2-1 Barca
4-0 Eibar
5-1 Getafe
3-0 Villarreal
3-2 Rayo
1-0 Real Sociedad
 
Back
Top Bottom