Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
- #17,281
Rayo defeated Real Madrid back in 1997.
Wakuu nilikuwa naangalia game ya New Castle vs Man City. Wamedroo goli 1-1. Yaani kwa game Ile Real Madrid wanatakiwa wafocus Tu basi wanaingia kwenye Champion league final.
kweli kabisaTumekamatwa eneo gan haswa mkuu?...ina maana hatujafika hata golin kwao
Rayo hawana uwezo wakuzuia pressure zaidi ya mara mbili...nafikiri kuna tatizo kama timu haipandi hivi?!Good defending by Rayo, midfield yetu iko too open, na makelele ya uwanja huu naona watu wako nervous.
Derby gani wakat toka 1997 timu haijawai wafungaKaribu home of football, Ciudad de Madrid. Hii Ni derby!
Vamos Madrid we can turn this one around....focus!35' GOAL by Gareth Bale!!! | Rayo Vallecano 2-1 Real Madrid #RMLiga #HalaMadrid
Derby gani wakat toka 1997 timu haijawai wafunga
Mkuu nlikuambia huyu jamaa hana kiwango chakuchezea madrid....Danilo anatuharibia game, sijui kwanini mapepe.
Mkuu nlikuambia huyu jamaa hana kiwango chakuchezea madrid....
Hawa tunawapiga 3 au 4...Shocking performance man, bao mbili za haraka defence imechanganyikiwa, na huyu Benzema bora aende tu sasa naona uchekibob tu uwanjani hamna kitu.