Cesar Caspar
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 3,706
- 6,376
Hizo dakika ninaziona nyingi kweli! ! ni afadhali kama Nilikua ninachek game ingenisaidia! ! Haya mambo ya kusikiliza unaweza kufa presha4 minutes to be added...
Hizo dakika ninaziona nyingi kweli! ! ni afadhali kama Nilikua ninachek game ingenisaidia! ! Haya mambo ya kusikiliza unaweza kufa presha4 minutes to be added...
Mkuu wew acha tu.. unaweza jikuta unaomba tu Mungu asaidie team ishinde..,Thanks God mpira umeisha hii time itakuja kutuua na presha.
Mkuu wew acha tu.. unaweza jikuta unaomba tu Mungu asaidie team ishinde..,
Hivi sisi Madrid tutabeba kombe gani maana kombe tunalotegemea la pichichi Suarez kabeba