mabesela
JF-Expert Member
- Mar 14, 2014
- 1,294
- 680
Ronaldo Jr done it once again at Santiago.!!!No Real Madrid player had scored a hattrick in a Champions League knock-out stage game since Ronaldo Luis Nazario in 2003 at Old Trafford.
Ronaldo Jr done it once again at Santiago.!!!No Real Madrid player had scored a hattrick in a Champions League knock-out stage game since Ronaldo Luis Nazario in 2003 at Old Trafford.
But B.Marley wanted to chase them(bald-heads) away from Kingston town...jokeZIDANE PROVING EVERYONE WRONG! Love this bald-head genius
Wako kwenye Maombi coz wana mechi Kesho! so wako kwenye presha Kali sanaWakimbizi wako wapi.????? Mashabiki wa Barca wrote hawana akili......haiwezekani tukifungwa tu ndio wanakuja kutembelea thread .....tukishinda wanasoma tu hawachangii....wakimbizi njoeni bhana nimewamis
Wako kwenye Maombi coz wana mechi Kesho! so wako kwenye presha Kali sana
na Barca wameshazoea kupata ushindi kwa card nyekundu, sasa kesho hamna cha card wala nini..Wako kwenye Maombi coz wana mechi Kesho! so wako kwenye presha Kali sana
Mkuu inachezeshwa droo tena sio!?Namuonba sana Mungu Madrid ikutane na Man city..![]()
![]()
![]()
ewe mwenyezi Mungu sikia Maombi yangu
najua, ndo mana ninaomba Mungu hiyo droo iangukie kwa Madrid Vs Man cityMkuu inachezeshwa droo tena sio!?
Vijana Leo wamejituma kweli kweli., nilivyoona Wolfs wanapack bus ili wapige counter nilifurahi sana., sababu nilijua kabisa hawawngeza kuzui mda wote.. Hongereni Madridistas wote humu, pamoja na marafiki zetu waliotuunga mkono Leo.., tuendelee kushikamana ndio kwanza safari inaanza.. #HalaMadrid! !
Hail to the king. One of the best Champions league performances by the entire team; a solid blend of passion, integrity and perfection. Not to mention an everlasting belief forever instilled into our hearts, that nothing is ever impossible.
#HalaMadridYNadaMas
#APorLaUndecima
#TogetherWeDid
Ahaa.. Wakijichanganya wakatupa M.City uhakika mkubwa sana kupita.najua, ndo mana ninaomba Mungu hiyo droo iangukie kwa Madrid Vs Man city
Tusubiri Ijumaa tuangalie tutapewa nani.. cha muhimu ni kuheshimu team yoyote tutakayokutana nayo!!Ahaa.. Wakijichanganya wakatupa M.City uhakika mkubwa sana kupita.
na tukipita basi kombe ni letu.. coz kama unavyojua jinsi Madrid ikifika fainal hainaga mzaha kabisa.. nazani unakumbuka jinsi tulivyomfanya Atletico mwaka juziAhaa.. Wakijichanganya wakatupa M.City uhakika mkubwa sana kupita.
Tulizubaa sana kule Ujerumani.Hawa Wolfsburg walipataje zile goli mbili kule kwao?
Naikumbuka vizuri ile. Amsha amsha ya mwishoni ilitusaidia sana. Ila bado naona pengo la Di Maria.na tukipita basi kombe ni letu.. coz kama unavyojua jinsi Madrid ikifika fainal hainaga mzaha kabisa.. nazani unakumbuka jinsi tulivyomfanya Atletico mwaka juzi
Tulizubaa sana kule Ujerumani.