Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,272
- 96,398
Thanks Mkuu. Haisumbui sana. Nishaweka mambo flani kwenye ignore list yangu.wembeee & Asprin wote mnakaribishwa hapa kuchangia na kuongea football. Real Madrid supporters are mature enough to handle gentle conversations. Ukiona mtu anatukana kwenye thread hii ujue huyo kapotea reli tu. Inasikitisha baadhi ya watu wako hapa kwa ajili ya kutuharibia starehe, lakini hatuna la kufanya.....Kama ukisoma vizuri pale juu tumeandika: Welcome to the Real Madrid C.F. Jamii Forums thread. Keep up to date with the latest news & engage with the club and other supporters.
#HalaMadrid
BTW imekuwaje mkaruhusu mbili kwa mjerumani? Mtachomoa?
Best of luck, napenda kuona fainali nyingine ya el classico.