Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
- #16,341
Instagram | Ramos
Hala madrid.....moyo wangu unanisukuma kuwa tunaweza...nina hakika dakika 45 za kwanza tutakuwa tumeshamaliza shughuli....lakin zaidi ninaona kilio chetu chakupangwa danilo kimewafikia wakuu...Real Madrid’s Greatest Ever Comebacks in European Football:
Europen Cup 1975/1976 second round:
Derby County 4-1 Real Madrid
Real Madrid 5-1 Derby County
(Agg. Real Madrid 6-5 Derby)
UEFA Cup 1984/1985 semi-final:
Inter 2-0 Real Madrid
Real Madrid 3-0 Inter
(Agg. Real Madrid 3-2 Inter)
UEFA Cup 1984/1985 3rd round:
Anderlecht 3-0 Real Madrid
Real Madrid 6-1 Anderlecht
(Agg. Real Madrid 6-4 Anderlecht)
European Cup 1979/1980 quarter-final:
Celtic 2-0 Real Madrid
Real Madrid 3-0 Celtic
(Agg. Real Madrid 3-2 Celtic)
UEFA Cup 1985/1986 3rd round:
Mönchengladbach 5-1 Real Madrid
Real Madrid 4-0 Mönchengladbach
(Agg. Real Madrid* 5-5 Mönchengladbach)
![]()
Hala madrid.....moyo wangu unanisukuma kuwa tunaweza...nina hakika dakika 45 za kwanza tutakuwa tumeshamaliza shughuli....lakin zaidi ninaona kilio chetu chakupangwa danilo kimewafikia wakuu...
Ni kwel kabisa...modric na isco wakianza game itakuwa nyepesi sana kwetu....wale jamaa nlichokiona kutaka kuwafunga kwa cross ni ngumu...wana watu warefu nyuma pale...lakn wana udhaifu wakugongana ikiwa mnapiga penetration pass....nafikir hawa jamaa wawili wakiwa katika ubora wao second leg nakuhakikishia watu wataenda lilia choonTeam work inahitajika mkuu. VfL Wolfsburg watakuja kupaki lakini wana speed ya ajabu kwahiyo defence lazima iwe makini sana kwasababu wakianza kupata goli tu, bye bye season.
Royal Madrid ni klabu ya wastaarabu hao watu ni wakupuuzwa tuwembeee & Asprin wote mnakaribishwa hapa kuchangia na kuongea football. Real Madrid supporters are mature enough to handle gentle conversations. Ukiona mtu anatukana kwenye thread hii ujue huyo kapotea reli tu. Inasikitisha baadhi ya watu wako hapa kwa ajili ya kutuharibia starehe, lakini hatuna la kufanya.....Kama ukisoma vizuri pale juu tumeandika: Welcome to the Real Madrid C.F. Jamii Forums thread. Keep up to date with the latest news & engage with the club and other supporters.
#HalaMadrid
Huyo mzee anahangaika sanaRicardo Rodriguez father confirmed yesterday that Real Madrid are officially interested in his son. [Bleacher Report]
Nadhani Kiko Cassilla yupo vizuri apewe nafasiLuka Modrić and Keylor Navas will not feature against Eibar as Zinedine Zidane wants to them at top level against VfL Wolfsburg. [AS]
Atletico huwa wamegoma kutuuzia wachezaji
Real Madrid are interested in José Giménez and willing to pay his release clause of €60m. [Jugones]
![]()
Legend asprin ukitaka kushare mawazo ya soccer usipende kubishana na watoto. Com mikono yao iko special kwa ajili ya kutyping matusi tu so yafaa ubaki kwenye uzi wetu wa liverpool au majukwaa mingne lkn sio barca or Madrid vijana wao wanapenda kutukana mda wote
sio kweli Mkuu na hakuna mashabiki wenye lugha chafu kama wa EPLAshanisamehe anaujua umuhimu wangu.Mimi nimekusamehe. Utajuana na Mungu wako mwenyewe kwenye hii dhambi ya kujitakia.
Mama popote ulipo nakusihi umsamehe huyu mtu.
Ukishaona mtu mzima na upo humu ujue una akili za kitoto. So acha tuwavumilie tuu. Social network ni za vijana ukishajiona mtu mzima ka tune Redio Tanzania. Jiangalie vizur kama wewe mtu mzima na upo humu basi jua umepoteza dira na mwelekeo wa maisha yako.Legend asprin ukitaka kushare mawazo ya soccer usipende kubishana na watoto. Com mikono yao iko special kwa ajili ya kutyping matusi tu so yafaa ubaki kwenye uzi wetu wa liverpool au majukwaa mingne lkn sio barca or Madrid vijana wao wanapenda kutukana mda wote
Hii sio facebook....jaribu kutofautishaUkishaona mtu mzima na upo humu ujue una akili za kitoto. So acha tuwavumilie tuu. Social network ni za vijana ukishajiona mtu mzima ka tune Redio Tanzania. Jiangalie vizur kama wewe mtu mzima na upo humu basi jua umepoteza dira na mwelekeo wa maisha yako.
Hivi ni sahihi kutocheza kwa sababu alizozitoa hizo? Eti mkuuLuka Modrić and Keylor Navas will not feature against Eibar as Zinedine Zidane wants to them at top level against VfL Wolfsburg. [AS]
Sahihi sana mkuuHivi ni sahihi kutocheza kwa sababu alizozitoa hizo? Eti mkuu
Mkuu nimeshaifanyia kazi Ignore list yangu.....Hii sio facebook....jaribu kutofautisha
OK, enjoy and Rest in Peace.Ashanisamehe anaujua umuhimu wangu.