Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Goooool Morocco scored

88mins | Wolfsburg 2 - 1 Real Madrid Morocco 87
Rodrigues 18' Mins (Arnold 25' Mins
 
Breaking Newwwwws

J

E
C
H
A
Equalise

Full Time
2:2
 
Mkuu ni kwamba mipango yetu ilikwama, na kufanya mambo yawe mabaya zaid alipoumia Benzema, nikadhani kua Zizou angemwingiza Isco, au Mateo kama angekuwepo, sababu hawa wajamaa walikua wamepark viungo wengi wamiliki mpira then ikipatikana nafasi wanapiga counter attack, ingizo la Isco lingetusaidia kuforce mashambulizi.
Mimi ninasupport mabadiliko yoyote kweny hii team.,
 
Safi sana wolf, madrinyoz o-2 WOLF

Harafu hawa brazil players wanapenda sana ku ect uwanjani, uongo na kujiangusha ndio zao wanaongoza hapa ulimwenguni, Huyo maselo ni mjinga sana alitakuwa apewe na yeye kadi, yeye ndiye aliyemuanza mwenzake.
 
I wonder what our results would look like if we got arbitrary decisions going our way like certain other teams do.
...hahahaaa waswahili husema mbaazi zikikauka husingizia jua!!,nyie mlibahatisha kwa Barcelona dkk ya 85 mkapata goli la pili,ghafla mkaanza kujiita mabingwa watarajiwa wa UCL.!!! i remember you said "there is certainty",leo mmeoneshwa uwezo wenu halisi,unaanza kulia lia,aibu sana,eti Barcelona anabebwa,angekuwa kweli anabebwa msingeshinda Camp Nou.!!
Jifunze kwa mwenzio Paolo Sergio De Suz,sio mnafiki,kwake nyeusi ni nyeusi, na nyeupe ni nyeupe!
 
Baada ya kumfunga Barca tulijua tumeshinda na hii
***** inauma zaidi maana bila sisi kuendelea Barca wanaweka record duniani
 
Tusubil mech inayofuata, lkn kwa game ya jana tulicheza ovyo kabsa, hsa mabeki wa kat
 
Imeniuma sana..dkk ya 75 nilikwenda kulala maana sikuona sababu ya kuendelea kutazama wakati hakuna dalili ya kurudisha wala kupunguza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…