Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
- #16,121
Karim Benzema [injured] comes off, with Jesé Rodriguez substituting him. This just keeps getting worse.
Si kwema wolfsburg kanywa mkuyati. ashapiga viwili na kamtanua miguu real madrid anamwandaa kupiga cha tatuKwema umu
Mkuu kwema umuJamaa wana confidence sasa hivi hapo Real wana possesion
Mbona unakata tamaa mapema [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Aiseeee tusiposhinda hapa leo hakika tunatoka
Washapimwa tezi dume[emoji13] [emoji14]Half time: wolfsburg 2 wanaume wa dar 0
Adi raha [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Si kwema wolfsburg kanywa mkuyati. ashapiga viwili na kamtanua miguu real madrid anamwandaa kupiga cha tatu
Mkuu upande wa Marcelo kuna kijana mmoja ana mbio sana, so tutegemee Mashambulizi kupungua kutokea kwa Marcelo.Marcelo hayupo mchezon leo...huku kwa danilo kama kawaida ni uchochoro na huwa kupanda ni mzito....nafikir kuna haja yakubadili mbinu....modric asogee mbele