Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
- #16,001
Cristiano Ronaldo is featured in La Liga's Team of the Week. He scored the winner in El Clasico. [via @WhoScored]
Gerard Pique: "I would like to face Real Madrid in the UEFA Champions League final. Anyone would want to play them."
Mbna dante kanifurahisha sana..hajiamini au
Ni kweli mkuu, nimeona wachezaji wao wakihojiwa, utaweza sema wamekata tamaa, kumbe ni janja tu ya kutufanya tulegeze. Ninadhan hata vijana wetu watakua wameshawasoma. Haiwezekani mpinzani wako anakusifia Kila mara!!Watacheza kama hawana cha kupoteza, kwahiyo Real wasiwadharau soka halina adabu.
Hapana, huyu tunamuhitaji sana baadae, tusifanye tena kosa tulilofanya kwa Casemiro, sababu hatutarajii Luka au Kroos kucheza msimu wote bila kupumzika, kama watakua na mbadala wa hao watu, then wafanye hivyo .Kovacic could be leaving Real Madrid in summer. On-Loan Most probably. [AS]