Hii game nimeiangalia kwa umakini mkubwa sana. Barcelona wamecheza chini ya kiwango walichofanikiwa zaidi ni kumiliki mpira ila mashambulizi yalikuwa 0.Casemiro huyu jamaa sijui kwa nini Banitez alikuwa anamkalisha benchi. Kwa kifupi hii classico ndio mbovu kuwahi kuiona. Btw..
Hongereni kwa ushindi