Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
- #15,661
Huyo agent wa Asensio vp, yaani anawasiliana an espanyol kuliko anavyofanya kwa Madrid, hajui mteja wake ni mwajiriwa wa nani ??
Siku hizi agents wanapenda kuongea sana na media ili kupata airtime, ndio mbinu zao za kibiashara, wakikaa kimya nani atawajua. Asensio ni Real Madrid player na hakuna haja ya kuongea na mtu yoyote kuhusu future yake. Kumbuka tunaenda kwenye FIFA ban kuanzia next season, kwahiyo kila mtu anajua hao loaned players wa sasa ni tegemeo letu kubwa kwa kipindi hicho. Hizo nyingine ni blah blah tu.