Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
- #15,641
Toni Kroos' STUNNING strike against England.
Simpendi na nitalisema hilo kila sikuHapa duniani inatupasa tupendane, weka mbali ushabiki wa soka, imani n.k.
Toni Kroos' STUNNING strike against England.
Unaweza ukasema hivi kama huamini ktk Mungu, anyway yaishe.Simpendi na nitalisema hilo kila siku
Sina unafki katika hilo eti kifa kisa kafa
Madridistas in one pic
Huyo agent wa Asensio vp, yaani anawasiliana an espanyol kuliko anavyofanya kwa Madrid, hajui mteja wake ni mwajiriwa wa nani ??Gaggioli [Asensio's agent]: "I only know that Espanyol want him for their new project. I don't know what Real Madrid want to do."