Ni Celta Vigo hao hao unaowajua ndio tumewapiga week.., walibana sana kipnd cha kwanza., cha pili walikuja kwa nia ya kusawazisha so wakafunguka, ndio wakakutana na hiyo dhahama.Ndio naiotea game. What the hell happened? Ni kwamba si wakali sanaaa, ama Celta hawakutokea leo? Casemiro na Kovacic wamekamua fresh?
Ni Celta Vigo hao hao unaowajua ndio tumewapiga week.., walibana sana kipnd cha kwanza., cha pili walikuja kwa nia ya kusawazisha so wakafunguka, ndio wakakutana na hiyo dhahama.
Kovacic alipiga mpira mwingi sana, kidogo nisahau kama Modric na Kroos hawapo.., Casemiro nae hakucheza vibaya alijitahid.. ila bado hajaacha yale mambo yake ya kupiga mashuti ya mbali..,