Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
- #14,861
Real Madrid's Upcoming Matches:
Ignore everything just look at Kroos!
View attachment 326228
MESSI tuhurumieni jamanii! Jana tumefungwa na simeon, hivyo tuongee tuyamalize jamani kabla haijafika hiyo siku! maana tunajua mtatuchapa tu,..ni hayo tu kaka yangu MESSI
Herrera wwe fan wa club ngapiKinachokuja kuuma zaidi ni pale unapojua hatuna DM wa maana lakini kila kukicha ni rumours za de gea, pogba, lewa ( yes kwa sasa anahitajika sana) lakini hatusikii habari za DM yyte wa kueleweka,
Kama uliona lile goli aisee hakukuwa na kiungo yyte aliyekuwa amerudi kusaidia defence, japokua ndio waliopoteza mpira, atletico walikua na game j5 wamepumzika siku mbili ( alhamis na ijumaa) Leo jmosi wanakuja kutufunga watu tuliopumzika wiki nzima, tena nyumbani. Sometimes inatia hasira aisee

After real Madrid won the 1958 European cup trophy they asked for the trophy to be awarded to Manchester utd after Munich air disaster. This however was understandably refused by the old Trafford club, Madrid dedicated the trophy to Manchester utd and more to the busby babes. Madrid then offered holidays in Spain to all the players in a bid to help them recover from the mental trauma.Herrera wwe fan wa club ngapi![]()
Umesahau kuweka hii mkuu,
![]()
Herrera wwe fan wa club ngapi![]()
Tuna hitilafu kadhaa tu..Ila mapambano kama kawa kama dawa.Jipeni moyo tu BARCA inawasubiri kwa hamu
Nyie hamtusumbui kubahatisha mechi mbili kusikupe kiburi..Tuko hapa usikimbie hiyo sikuView attachment 326228
MESSI tuhurumieni jamanii! Jana tumefungwa na simeon, hivyo tuongee tuyamalize jamani kabla haijafika hiyo siku! maana tunajua mtatuchapa tu,..ni hayo tu kaka yangu MESSI
Are you out of your mind? Usiandike kujifurahisha.Jamaa anaclub nyingi!,Barca, real madrid,
atletico nk.
If you watch Griezman goal yesterday it was all our Midfield fault. Watched it like 10 times.
Isco lost the ball then Modric tackle on Grizi was all he didn't follow him back and Kroos was walking like he's having a walk there on the bernabeu pitch.
On the Left Felipe Luis was running freely, james should've covered him or track him back but he was just standing there enjoying the show. Our Defence was exposed really quickly and they scored!
The reason we are after Pogba is clearly that we need a workhorse in our Mid which we clearly dont have currently!