Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Kinachokuja kuuma zaidi ni pale unapojua hatuna DM wa maana lakini kila kukicha ni rumours za de gea, pogba, lewa ( yes kwa sasa anahitajika sana) lakini hatusikii habari za DM yyte wa kueleweka,

Kama uliona lile goli aisee hakukuwa na kiungo yyte aliyekuwa amerudi kusaidia defence, japokua ndio waliopoteza mpira, atletico walikua na game j5 wamepumzika siku mbili ( alhamis na ijumaa) Leo jmosi wanakuja kutufunga watu tuliopumzika wiki nzima, tena nyumbani. Sometimes inatia hasira aisee
Mkuu hao watu kuhusishwa na Real Madrid ni jambo la kawaida kabisa, sababu siku hizi ili mchezaji aonekane ni wa gharama ni lazima ahusishwe na Real Madrid, kwahiyo usipate sana tabu man.

Si kweli kwamba hatuna DM wa maana, tunaye Casemiro yupo bench daily, ninaamini kua anaweza sana, tatizo ni kwamba hachezi mara kwa mara, kwahiyo hatuwezi kusema kua si mzuri wakati hapati nafasi.

Kuhusu lile goli, kama umeangalia game kadhaa za Madrid utagundua kua sio mara ya kwanza., kama sikosei ni mara ya pili na ya tatu alisababisha refa, kwa Modric kupoteza possession sehemu kama Ile na hua tunafungwa., kinachofanya tufungwe ni kwamba, kwa mfano game ya jana., tayar Danilo na Dani walishapanda kusaidia katika mashambulizi ghafla modric akiwa karibu na kroos anapoteza mpira, nyuma yupo Ramos na Varane na sidhani kama walitarajia kua tungeweza kupoteza mpira pale.,
 
Tatizo kubwa la Madrid Ni mids. Modric na Kroos walaini sana hawawezi games ngumu, hawana roho mbaya wala si wakabaji wazuri
 
Dawa mliyochomwa leo ni ndogo lakini ni kali na inauma. Nitoe pole kwa madridista woote kwa kipigo mlichopata. Mimi sijaelewa kwa nini mzigo wa lawama mnataka kumbebesha Perez (rais)wakati yeye hayupo kwenye bench la ufundi. Mlimtimua Banitez na kumpa timu zidane. Sasa mnataka kumtoa sadaka Perez. Msipokuwa makini mtakuwa club ya kutimuatimua.
Nani anaye fire na ku-hire?!

Unaelewa hata unachokisema?!

Perez ni president pale.
 
Jana Estadio Santiago Bernabéu.

12800200_10150986248249953_3415592317183439899_n.jpg
 
Losing in the Madrid derby seems to have opened Pandora's Box. Not just in the short term, with Cristiano Ronaldo's complaints, but also the long tem.

According to Spanish sources, Florentino Perez and Zinedine Zidane met after Real Madrid's 1-0 defeat by Atletico Madrid at the Santiago Bernabeu on Saturday.

This was to analyse the situation. In the brief meeting the president told the French coach that he has full power to decide who comes and who goes in the summer transfer window.

Zizou said in his press conference "there may be changes", and there will be. The coach thinks he will have the support of Florentino Perez to undertake a revolution of sorts in the squad, including sacrificing some of Madrid's biggest names! [Cadena Cope]

12805846_217634241923984_2610828145560088122_n.jpg
 
Madrid are willing to sell Cristiano next season and Perez will try to bring 'IN' Lewandowski who has scored already 41 goals already this season. [El Confidencial]
 

‪#‎ExclusiveNews‬ by some German media outlets: Lewandowski wants to leave Bayern and want Madrid move.

El Confidencial also stating that Perez priority is him next season.
 

If you watch Griezman goal yesterday it was all our Midfield fault. Watched it like 10 times.

Isco lost the ball then Modric tackle on Grizi was all he didn't follow him back and Kroos was walking like he's having a walk there on the bernabeu pitch.

On the Left Felipe Luis was running freely, james should've covered him or track him back but he was just standing there enjoying the show. Our Defence was exposed really quickly and they scored!

The reason we are after Pogba is clearly that we need a workhorse in our Mid which we clearly dont have currently!
 

The Ultras were protesting against Perez outside the bernabeu last night wanting him to resign. [AS]
 

Ramos:
"As captain, I am proud of all my colleagues, Of Jese, of Lucas and Borja!"

"I don't like to hide behind excuses. The league has become virtually impossible."

"I insist. As captain, I say that I am proud of my colleagues. The performance and the results are not good but I want to move on."

" Now we must be united. love, support and sacrifice for the team."

"When the results aren't good, naturally there will be negative opinions. The UCL is what we have left and its what we'll fight for."

"We we begging to stress upon the key injuries we've suffered then yes.. Karim, Bale etc have affected us."


CcP1PoiWAAA4WG3.jpg
 
MARCA | 'What a Mess'

• Atletico lit the Bernabéu on fire & erased the Zidane effect.

• Zidane: "La Liga is over."


CcSD9FkUkAAbbKu.jpg
 
We will go trophyless this season. We've got no chance against the big teams. Praying Florentino won't sack Zidane. he should sack himself.
 
Back
Top Bottom