Buenos Aires
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 1,893
- 1,623
Point ngapi hapo different kati ya BAKWAdrinyo? In short hamuna chenu tena, na 3d april kama kawa tutawapiga ile mbaya, chezea baca! 😀nawasilisha hoja
Bado ana Game Camp Nou anayosubiriwa kwa hamu saaaaaaana.Madrid ndiyo kashapishana na La Liga kombe hivyo...
Tatizo la Madrid ni rais wao, as long as akiwapo, watakuwa wanashinda ndoo kama Barcelona watakuwa wameshuka kiwango au Attletico wameshuka kiwango, hauwezi ukawa FIRE and HIRE managers kila msimu.
Mkuu unaongea kwa uchungu sana. Nakuomba uzoee maana hamna namna.Kinachokuja kuuma zaidi ni pale unapojua hatuna DM wa maana lakini kila kukicha ni rumours za de gea, pogba, lewa ( yes kwa sasa anahitajika sana) lakini hatusikii habari za DM yyte wa kueleweka,
Kama uliona lile goli aisee hakukuwa na kiungo yyte aliyekuwa amerudi kusaidia defence, japokua ndio waliopoteza mpira, atletico walikua na game j5 wamepumzika siku mbili ( alhamis na ijumaa) Leo jmosi wanakuja kutufunga watu tuliopumzika wiki nzima, tena nyumbani. Sometimes inatia hasira aisee
Meza DicloparMe leo sisemi chochote game sijaingalia ila matokeo nimeyapata...kifua kimejaa hewa hapa nina hasira sana
Pole sana Mkuu, embu meza Diclopar walau mbili kisha upumzike kitandani.Kinachokuja kuuma zaidi ni pale unapojua hatuna DM wa maana lakini kila kukicha ni rumours za de gea, pogba, lewa ( yes kwa sasa anahitajika sana) lakini hatusikii habari za DM yyte wa kueleweka,
Kama uliona lile goli aisee hakukuwa na kiungo yyte aliyekuwa amerudi kusaidia defence, japokua ndio waliopoteza mpira, atletico walikua na game j5 wamepumzika siku mbili ( alhamis na ijumaa) Leo jmosi wanakuja kutufunga watu tuliopumzika wiki nzima, tena nyumbani. Sometimes inatia hasira aisee
Huyo jamaa ni shabiki wa man u damu, yupo madrid sababu haipendi barca na messi, sasa kule man u hana kombe lolote kubeba, madrid pia hamna kombe la kubeba msimu huu, lazima akili iruke. Na kesho anagongwa tena na Arsenal pale OT.Mkuu unaongea kwa uchungu sana. Nakuomba uzoee maana hamna namna.
InaonekanHuyo jamaa ni shabiki wa man u damu, yupo madrid sababu haipendi barca na messi, sasa kule man u hana kombe lolote kubeba, madrid pia hamna kombe la kubeba msimu huu, lazima akili iruke. Na kesho anagongwa tena na Arsenal pale OT.
Unanijua zaidi ya nijijuavo Mimi, mi ni mpenzi wa mpira sio shabiki wa timu.Huyo jamaa ni shabiki wa man u damu, yupo madrid sababu haipendi barca na messi, sasa kule man u hana kombe lolote kubeba, madrid pia hamna kombe la kubeba msimu huu, lazima akili iruke. Na kesho anagongwa tena na Arsenal pale OT.
Barcelona Fan huku umekuja kufanya nini? Au hujui maana ya Thread mzee, kuwa mstaarabu basi,,, [HASHTAG]#Jiheshimu[/HASHTAG] [HASHTAG]#Uheshimike[/HASHTAG]
Mkuu unaongea kwa uchungu sana. Nakuomba uzoee maana hamna namna.