Cr7 akipunguza uchoyo na kushirikiana vizuri na Benzama +James twaweza pata magoli
Hapana..kuna baadhi ya wachezaji wanaigharimu timu.it seems its end of an era
Hapana..kuna baadhi ya wachezaji wanaigharimu timu.
Kufungwa mechi moja au mbili haimaanishi kushindwa jumla.Acheni kujitetea..mkubali tu mmeshindwa