La liga next game ni barca vs atl.Madrid let's hope for draw
If Barca draws Madrid will suffer the same fate too. Iko hivyoLa liga next game ni barca vs atl.Madrid let's hope for draw
If Barca draws Madrid will suffer the same fate too. Iko hivyo
James, CR7, Danilo shouldn't be in our starting squad. I believe Zidane anaona hilo ila kuna sehemu anabanwa smhThat's true, Real sasa hivi should play one game after the other bila kufikiria matokeo ya timu nyingine. La liga ishakuwa ngumu kwa upande wetu lakini wamwache Zidane afanya kazi yake.
James, CR7, Danilo shouldn't be in our starting squad. I believe Zidane anaona hilo ila kuna sehemu anabanwa smh
Can't agree moreKama ni rotation, Danilo should play home game against Sporting last week. James should work his ass out to find his game asituletee miyeyusho. Zidane kasema inamkera sana kusoma habari za James kwenye media. Na huyu Cristiano ndio ashamaliza game yake, ndio anayeharibu kila kitu pale mbele. If Perez wants to win trophies atie sokoni Cristiano as soon as possible, jamaa anashindwa ata kutuliza mpira