Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Tumepaniki kidogo hawa jamaa tungewashinda endapo tungetulia kiasi

Man hawa jamaa hawajashinda last ten games in all competition. Sevilla kapiga nje ndani kwenye Copa del Rey. Sisi tuko na kina Cristiano wanacheza mpira mbovu lakini untouchable, This team kills me man
 
Ni muda wa James sasa kutoka, kovacic au Jesse mmoja wapo aingie, James game nae imemkataa leo
 
71' GOOOOOOOOOOAL by Benzema!!! | Betis 1-1 Real Madrid #RMLiga #HalaMadrid

CZg32bJWkAAbkqH.jpg
 
Man hawa jamaa hawajashinda last ten games in all competition. Sevilla kapiga nje ndani kwenye Copa del Rey. Sisi tuko na kina Cristiano wanacheza mpira mbovu lakini untouchable, This team kills me man
Ni kweli usemacho Cr7 hatutendei haki juu ya ubora wake dhidi ya service anayoioffer kwa timu. Lakini naona Kroos kafanya kazi nzuri sana iliyotendewa haki na James ikimaliziwa na Karim
 
Itaisha draw. Cr7 kaisha hata kutuliza mpira vizuri hawezi, carvajal na Jesse ilitakiwa waanze
 
Ni kweli usemacho Cr7 hatutendei haki juu ya ubora wake dhidi ya service anayoioffer kwa timu. Lakini naona Kroos kafanya kazi nzuri sana iliyotendewa haki na James ikimaliziwa na Karim

Huyu Cristiano hana faida yoyote kumambuzi huyu. Sijui kwanini hauzwi huyu. Anatuharibia game yetu tu huyu
 
Our own academy player Adan is having a game of his life against us.
 
Hii droo ni sawa na kufungwa tu.

We should win this game, stupid. Perez bora alete strikers pale mbele, huyu Ronaldo doesn't do anything kumamae. Anakosa magoli wakati yuko kwenye target kabisa
 
Antonio Adan - Real Betis goal keeper should be man of the match for me. The guy is a beast. Hats off. Stopped us from scoring and saved 5 shots.
 
And the La Liga battle is off.

The Catalans are now 7 points ahead (If they win their next game which they probably will) of us.

They've played all of their hard away games.
 
We should win this game, stupid. Perez bora alete strikers pale mbele, huyu Ronaldo doesn't do anything kumamae. Anakosa magoli wakati yuko kwenye target kabisa
Hii ni time ya kumleta Pogba acheze nyuma ya striker kama Lewndosk au Aubemeyang pale mbele. Ronaldo aanzie bench asiuzwe kwanza.
 
Back
Top Bottom