Ed n Edd nEddy
JF-Expert Member
- May 3, 2011
- 5,345
- 6,078
Kama kocha akiondoka Real Madrid hata kwa kufukuzwa, ujue huko anakokwenda anakwenda kupata very nice job kwahiyo usiwe na wasiwasi na Zizou, no wonder akawa manager wa French NT siku moja
Sawa mkuu lakini haikuwa na maana kumtoa Ancelotti then Benitez ili umlete Zidane from zero to hero