...Florentino Perez ndio Mungu mtu real madrid; ana uwezo wa kumuweka yeyote,kumuondoa yeyote,wakati wowote,bila kuulizwa na yeyote.!!
Inshort sioni jipya kwenye uteuzi wa Zidane,yes, alikuwa good footballer,though i doubt if he will be a good coach..!!
nikikumbuka na tabia ya huyo mzee wenu...??!!