Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Zinedine Zidane: "I will do my best to win something at the end of the season. I will use every player to win something. Thank you to all."

CX5fFDOWkAUV5_c.jpg
 
Hii nafasi Ilikua ya Zidane tangia Carlo aondoke, sema ule uoga Ndio ulisababisha asubir kwanza.., so kazi imeanda kwa aliyekua ameandaliwa.. Hope stress zitaisha sasa..
 
Hii nafasi Ilikua ya Zidane tangia Carlo aondoke, sema ule uoga Ndio ulisababisha asubir kwanza.., so kazi imeanda kwa aliyekua ameandaliwa.. Hope stress zitaisha sasa..
Perez anafanya maamuzi mabovu sana siku hizi,akiendelea hivi huenda Mourinho akarudi baada ya misimu 2
 
Zidane ajiandae, Real Madrid hawatomvumilia ati kwa kuwa aliwahi kuwa Club Legend, kama hana matokeo mazuri ajue kuwa kilichompata Rafa hakitamkwepa. Tena Kwake itakuwa ni kwa aibu kubwa na CV yake itaanza kwa kufeli
 
Hili ni kosa litakalo wagharimu zaidi real madrid. Kumpa zidane kuongoza kikosi cha kwanza ni kumtwisha mzigo ambao naamini hauwezi. kama hali ndio hivyo sitashangaa Giggs kupewa United aifundishe, naamini hawakuzingatia uwezo na uzoefu bali ulegendary wake paale madrid. Huu mzigo jamaa hauwezi.
 
Ancelotti: "Zidane understands the workings of the club and his input was very important to me. When Zidane talks, the players listen."

72359_1131764123515013_6530115506794977447_n.jpg
 
David Bettoni will be Zinedine Zidane's assistant manager. NOT Santiago Solari. [via @jpedrerol]

12509571_1131771556847603_4399488274653425255_n.jpg
 
Zinedine Zidane is Real Madrid's first french manager ever

12509421_1048497075203176_3098378694335554311_n.jpg


 
Back
Top Bottom