Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
- #12,881
MARCA | Zidane will be the chosen one if Benitez is sacked. Florentino isn't considering anyone else. He feels Zidane is the indicated one.
Ile ya snaider iliniuma sana sababu ilikua wazi n he deserved t kwakweliMchezaji bora wa 2014/2015 Messi atabeba bila shida. Ila hii ya 2015/2016 itakuwa ni shida kwa hawa Messi na Ronaldo, ubaya wa Fifa wanawaangalia hawa watu kibiashara zaidi, kuna misimu ya nyuma alinyimwa Xavi na Sneidjer.Ila Messi anaweza akabeba tena sababu bado umri upo na kiwango chake bado kipo vilevile.
waachane na hii habari maana walishaharibuBreaking: Real Madrid's final appeal for Copa Del Rey's disqualification has been rejected by the Spanish Sports Ministry’s Administrative Court.
![]()