Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
- #12,921
Beki zina katika sana, umeiona nafasi waliokosa saiz?
What a goal Bruma! What was pepe doing there!
Kuna ugonjwa wakuduwaa wachezaji wanao....
Maana mkuu kwa kwel unaweza sema wanacheza bonanzaTall, tusiposhinda game hii sasa tunafanya nini kwenye mashindano. Ni upuuzi tu